Du mkuu huu wizi wa mchana huu,rim mil6? Ni alloy rim Tanzanite + Gold? Nikienda Lumumba napata Rim za ukweli 22" + Nu tyre kwa 1.2m za Ukweli mara 100 ya hizo
Kama za Boda boda vile, halafu hiyo bei mmh.....!! Anyway hatahivyo, hazifai kwa ile Starlet yangu ya mwaka 1993 ambayo nilimwachia mdogo wangu hapo bongo, ningekutumia T/T.