22.08.2012

Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
15,135
13,254
Nawajulisha mapema kuwa ni siku yangu ya kuzaliwa. Kama kuna mtu atampa mama yangu vera chochote kama pampas au nepi ruksa siku ikifika. Msije sema sikuwajulisha mapema. By the way kuna mmoja wenu we share the same date? Welcome.
 
Hehehe, wenzio huwa tunasupriziwa na wapendhi wetuuu. Hatujadhoea hii ya kujibasideisha, ila ngoja nkuagidhie maua siku hiyo naweza kuwa safarini majimoto
 
hehehe, wenzio huwa tunasupriziwa na wapendhi wetuuu. Hatujadhoea hii ya kujibasideisha, ila ngoja nkuagidhie maua siku hiyo naweza kuwa safarini majimoto

thatha kotha langu li wapi mukubwa? Thi nimetoa taarifa bathi?
 
Ndiyo kesho ivoo imekaribia. Mapochopocho yako tayari karibuni pale the arusha hotel kesho jioni wana jf wote hasa wanachit-chat jamani. Duh! Ama kweli siku hazigandi.
 
Back
Top Bottom