2026 masingle Maza wa JF tunachekelea

2026 masingle Maza wa JF tunachekelea

Tafuta S.M mmoja umuoe mkuu, umpunguzie mzigo.
Hapa hatuongelei issue ya mtu mmoja,unatakiwa uelewe hilo kwanza,tunaongelea tatizo lililopo kwenye jamii kwa ujumla,

Wapo single mother ambao ni matokeo ya waliowazalisha kuyakimbia majukumu yao ya malezi kwa mtoto,

Upo uzi umetumwa juzi hapa,kuna mtu kamzalisha mdada halafu anaenda kumuoa mwanamke mwingine,sasa hapo utamlaumu aje huyo single mother peke yake?
Solution ya hili tatizo ni kuliangalia pande zote mbili na sio kuelekeza lawama upande mmoja,

Matatizo hua hayatatuliwi hivyo,ni lazima ujue chanzo cha tatizo root cause.
 
Ni ngumu kuwaoa mkuu hata kama tatizo ni la nani.

Uhuru wa kutooa/kutoolewa na mwenye mtoto upo, haujabanwa.
 
Ni ngumu kuwaoa mkuu hata kama tatizo ni la nani.

Uhuru wa kutooa/kutoolewa na mwenye mtoto upo, haujabanwa.
Nafikiri tumeielewa mada tofauti,coz mada haiongelei kuoa single mother bali kuwabeza single mother,

Mimi nilicomment kuangalia chanzo cha tatizo root cause,chanzo cha masingle mother,kuhusu kuoa single mother hiyo ni mada tofauti na kila mtu anao uhuru na maamuzi yake ya kuoa Mwanamke wa aina gani.
 
Dakika 90 za January zimetimia sijaona thread za.masingle Maza humu
Naona hii 2026 tutapumua tuzae tena tuchambwe

2025 masingle Maza humuu tuliteswa jamani .ilikuwa hata kupanua miguu tunaogopa ukikumbuka matusi ya humu.
Huu mwaka kimyaaa

Sasa ngoja tuanze kukitembeza tena Kwa mababy dady tuje tuchambwe
Nimeandika na kufuta kama mara hamsini hivi, all in all I wish y'all the best katika kuiburudisha na kuifarijisha jamii yetu ya manhood.
Utelezi huo mnaotupatia ni muhimu sana kwetu kwa mustabali mzima wa afya ya akili ngoma huwa inakuwa mbuchuchu kwetu kimbembe cha child support kunapokuja.
 
Back
Top Bottom