2026 masingle Maza wa JF tunachekelea

2026 masingle Maza wa JF tunachekelea

Single mother wamekuwa wazuri sana, wana upendo wa dhati, hawana kiburi na dharau. Unaweza ukawa na urafiki nao hata kumi na wakakuhudumia fresh tu huku wakiendelea na maisha yao ya uhuru. Hakuna sababu ya kuendelea kuwasema vibaya
Duuhh wa mitaa gani hao namimi nije aisee🫢
 
Tuko busy na mfungo wa siku 40 inaisha week ijayo kwa TAG, watoto ndo wameenda Shule, mipango ya Mwaka, ngoja Kuanzia April 15 baada ya Kwaresma ndo utajua kama mm pumzika, Bado mapema!

#USIOE SINGLE MOTHER!
 
Ukimuona single mother basi ujue pia kua kua Single father pia aliyemkataa huyo mtoto au mzazi mwenzake kwa sababu wanazozijua wao wenyewe,

Mahusiano ni siri ya watu wawili,wakiachana kila mtu atajitahidi kujitetea ili aonekane kua kosa sio lake la kupelekea kuachana au kua na single mother,

Siwezi na sijawahi kumbeza single mother coz sijui sababu hasa zilizopelekea kutokea jambo hilo,

Wapo single mother wenye tabia nzuri na wapo wenye tabia mbaya,pia wapo wanawake ambao sio single mother wenye tabia nzuri na wenye tabia mbaya,

Kua single mother sio tiketi yakuonekana kua wewe ni mbaya kitabia.
 
Tukiacha "matusi" ya humu, usingo maza ni doa sana
Mkuu,usingle mother husababishwa na nani? Je wanaume hawahusiki katika kuwasababisha hao single mother kuwepo?

Tumeona wazazi wakilalamika kua watoto wao hawawasaidii baada ya kufanikiwa,watoto nao hujitetea kua Baba zao waliwatupa walipokua wadogo,mfano issue za Diamond na Baba yake na Ommy Dimpoz na Baba yake.
 
Ongea na hawa vichaa wana kazi ya kugeneralize mambo ya kipuuzi tu hawaangalii the other side of the coin!
 
Mkuu,usingle mother husababishwa na nani? Je wanaume hawahusiki katika kuwasababisha hao single mother kuwepo?

Tumeona wazazi wakilalamika kua watoto wao hawawasaidii baada ya kufanikiwa,watoto nao hujitetea kua Baba zao waliwatupa walipokua wadogo,mfano issue za Diamond na Baba yake na Ommy Dimpoz na Baba yake.
Labda tunajiblend ndio tunakuwa na watoto.. watu wana uwezo mfupi sana na hawawazi..
 
Ukimuona single mother basi ujue pia kua kua Single father pia aliyemkataa huyo mtoto au mzazi mwenzake kwa sababu wanazozijua wao wenyewe,

Mahusiano ni siri ya watu wawili,wakiachana kila mtu atajitahidi kujitetea ili aonekane kua kosa sio lake la kupelekea kuachana au kua na single mother,

Siwezi na sijawahi kumbeza single mother coz sijui sababu hasa zilizopelekea kutokea jambo hilo,

Wapo single mother wenye tabia nzuri na wapo wenye tabia mbaya,pia wapo wanawake ambao sio single mother wenye tabia nzuri na wenye tabia mbaya,

Kua single mother sio tiketi yakuonekana kua wewe ni mbaya kitabia.
Tafuta S.M mmoja umuoe mkuu, umpunguzie mzigo.
 
Back
Top Bottom