2026 FIFA World Cup - Special Thread

🤣🤣🤣🤣 Hii Kali sijawahi kusikia, kumbe kipimo cha kua MCHEZAJI mzuri ni kucheza serie A na premier league 😁😁😁
Sasa kama top league ndio zinazotoa ushindani wa juu kwanini hiyo isitumike kama factor?
 
Wote tulikuwa ni mashabiki namba moja wa Ronaldo mpaka pale FIFA walipoamaua kuingiza siasa na kutugawanya.

 
Role model wako naye ana role model wake.

Kama jamaa yuko tayari kulipia hadi tiketi aangalie mechi ya anayocheza Ronaldo kuna uwezekano huyu jamaa akawa ni shabiki wa Ronaldo kuliko hata mimi.

 


Ronaldo ndio MCHEZAJI pekee alieweza kuifunga timu NGUMU Uzbekistan, mbappe,Messi na halaand wasingeweza kufanya hivyo
 


Ni kwanin wachezaji waliocheza na ronaldo wanapenda sana kumfuata Messi ili watimize ndoto ya kucheza nae na sio ronado??
 


THIS IS NOT FAIR! Messi kafanya Nini kwenye wc hii ukilinganisha na ronaldo?? Hiyo sehemu ya Messi ilitakiwa awepo ronaldo.

Kweli infantino anatuharibia mpira
 
 
Sasa naona hapa unatoa ushuhuda wa vile wewe ulivyo mbishi.
Maana saizi tunaona excuse zimekuwa nyingi

Sijui mara Peredes alivunjika mbavu na alicheza mechi hivyo hivyo hakutaka kutoa taarifa kwasababu wapinzani wangetumia udhaifu huo.

Mara sijui Argentina walilazimishwa kukubali kupoteza fainali kwa kile kinachodaiwa kuwa ni maswala ya kisiasa ambapo Messi alionekana akiwahamasisha wachezaji wenzake kuwa wasahau kila kitu.

Haya yote yanakuja kwa ajili ya kumtetea Messi kumsafisha dhidi ya performance mbovu na kukosa ubingwa.
 
Kila mwaka ulikuwa na matukio yake yaliyowasaidia kuchukua ubingwa
 
Kama Messi akishinda, kwangu ni furaha
Kama Lamine Yamal akishinda, kwangu ni furaha.

Haya Yamal kashinda.

Hii ni siku ya 4 mashabiki wa Messi
 
Naona beki za Madrid ziliambiwa na FIFA zisimpokonye mpira MESSI.
Dah hawa FIFA wanambeba sana huyu MESSI cheki wanavyombeba.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…