ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,313
- 41,061
My dear jana mpira ulinishinda hii video nili recod nikiwa kitandani nasikia kwa mbali Messi lol pureshaaaaAu ulikuwa hujawaona hawa watt wakichwza na Austria ma tema nyingine???
Hawa watt noma
PoleeeMy dear jana mpira ulinishinda hii video nili recod nikiwa kitandani nasikia kwa mbali Mara Lamine lol pureshaaaa
Nilitaka nimtumie uran nimwambie nipo kwa bed yamenishinda๐ฅน๐ฅน๐ฅน
Wanafiki sana ๐ขnakupa pole sana.
ila huko social media kila mtu ni Spain leo
Na ukapata usingizi kabisa?Abeee
Kwetu raha
Jana nilienda kulala baada half time
mimi nilikuwa timu CuracaoWanafiki sana ๐ข
Unakumbuka nilichosrma jana, mkifungwa ndo mtajua watu hawapendi Argentina ๐ ๐Wanafiki sana ๐ข
Ndio nilikuwa na uhakika na vjn wangu๐ ๐Na ukapata usingizi kabisa?
Sawa bana tusubiri tena 2030mimi nilikuwa timu Curacao
Mashabiki wa Argentina wamejificha kwenye kichaka cha BarcelonaNumbisa
Lamomy
Saint Anne
Da'Vinci Angel Nylon hawa na wengine wachache sijashika majina yao ndo najua team spain ht tungefungwa tungekubali matokea...๐ ๐ ๐
Bila kusahau Scars walimsemq sn
NdioMbuzi kumbe wamemnywa supu kabla ya Christmas ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
Scars huyo alikuwa anabadilisha timu kila siku ya Mungu, timu yoyote akigusa lazima ipigwe.Numbisa
Lamomy
Saint Anne
Da'Vinci Angel Nylon hawa na wengine wachache sijashika majina yao ndo najua team spain ht tungefungwa tungekubali matokea...๐ ๐ ๐
Bila kusahau Scars walimsemq sn
wanafiki sanaMashabiki wa Argentina wamejificha kwenye kichaka cha Barcelona
Wakati tangu mwanzo walikuwa Argentina
Eti leo wanaact kama wamefurahi pia Spain kushinda
Tunawajua ๐ ๐ ๐Mashabiki wa Argentina wamejificha kwenye kichaka cha Barcelona
Wakati tangu mwanzo walikuwa Argentina
Eti leo wanaact kama wamefurahi pia Spain kushinda
Lkn wamemuonea sn kisa anampenda Ronaldo ๐Scars huyo alikuwa anabadilisha timu kila siku ya Mungu, timu yoyote akigusa lazima ipigwe.
utakuwa na umri gani? mumeo atakuruhusu? tuende uwanjani kabisaSawa bana tusubiri tena 2030
Sawa Spain ameshinda ila haibadili kua Ronaldo ana staafu bila kugusa medal ya WCUnakumbuka nilichosrma jana, mkifungwa ndo mtajua watu hawapendi Argentina ๐ ๐
Halafu watu hawaipendi argemtina ila messi
Ndoambqcho sikipemdi mie bora kapigwa
kabisa, ila ni jeshi la mtu mmoja. alikuwa anaweza kupangua kijiji kizima kwa hojaLkn wamemuonea sn kisa anampenda Ronaldo ๐