2026 FIFA World Cup - Special Thread

Tukio la mwisho ndio linalobeba mjadala.

Huwezi kuzima mjadala wa sasa kwa kukumbushia kutolewa kwa Portugal kama sehemu ya kujibu mapigo.

Hii haiwezi kufanya kazi wakati huu na wakati mwingine unaweza kuboa hadi wenzako ukaonekana snitch.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…