ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,517
- 41,521
Umetoka wapi sijawahi kukuona huku🙄Lazima afunge huyo dogo kuna namna Argentina wanafanya sana makosa huo upande.
Msalimie classmate wako Trump naona yuko live.. 😹Mimi ndio refa, asante....🥰
Ila hawa madogo wa spain wanacheza aiseeHuyo andunje leo anapewa kipigo na team yake.. we tulia ujionee..!
Hio ndio ArgentinaHuyu jamaa kashika mpira makusudi ajalambwa hata yellow ? How
Watu tunaongelea kiwango cha YamalKwahiyo kombe litaenda kwa atakaye cheza vizuri tu sio?
Binafsi nashangaa!!!Huyu jamaa kashika mpira makusudi ajalambwa hata yellow ? How
Napendelea kusoma zaidi pande hizi crush, vipi uko upande gani kwanza?Umetoka wapi sijawahi kukuona huku🙄
Kakubali yaishe?Jmn si amestaafu au?
Mimi naongelea magoli,kwani lazima niongelee unachokiongelea wewe?Watu tunaongelea kiwango cha Yamal
Chagua sasa bado 0-0Daaah shawarma,umenikumbusha znz.
Wanasema team Messi na team yamalChagua timu ukishinda itabidi niusindikize usiku wako na shawarma ya ngamia.
Na refa kaona kabisa sasa huu ni mpira wa miguu au NFLBinafsi nashangaa!!!