Mkuu umeteseka sana haya mashindano😁😁Camon Spain fanyeni kitu, mbona inawezekana kabisa
Ndio kwanza dakika 3 tu.Hivi ni mimi tu naiona hii mechi kama sio fainal vile imekaa kienyeji enyeji tu
😂😂😂 Mwanangu Hadi leo hii hujakata tamaa, angalia mpira achana na hayo mambo yalishaisha pochugo alivyotoka leo angalia soccerCamon Spain fanyeni kitu, mbona inawezekana kabisa
Hata dk 10 bado😁Hivi ni mimi tu naiona hii mechi kama sio fainal vile imekaa kienyeji enyeji tu
Ana goli 1 tu mpaka sasa.Atapata goli
Sasa dk za kwanza tu umesha ona wavamizi wa mpira bhanaHivi ni mimi tu naiona hii mechi kama sio fainal vile imekaa kienyeji enyeji tu
Kakosa nafasi dogo huyuAtapata goli