Ewaaa! Mtani hii si ya kukosa kamwe.Umemaliza kila kitu mtani. Usisahau mechi ni saa 4:00 usiku
Cristiano anawaumiza sana kina Scars ni vile tu hawawezi kukiri. Imagine hiyo performance ya goat wao. Huyu ni goat kweli au Magoti Mkama wa Ukerewe?Mbappe - 10 goals in 1 world cup
Messi - 8 goals in 1 world cup
Haaland - 7 goals in 1 world cup
Bellingham - 7 goals in 1 world cup
Dembele - 7 goals in 1 world cup
Harry Kane - 6 goals in 1 world cup
Cristiano Ronaldo - 11 goals in 6 world cup
Kama Messi akishinda World Cup nyingine kitu ambacho nauhakika anaenda kufanikiwa.Cristiano anawaumiza sana kina Scars ni vile tu hawawezi kukiri. Imagine hiyo performance ya goat wao. Huyu ni goat kweli au Magoti Mkama wa Ukerewe?
Daaah😂😂😂Cristiano anawaumiza sana kina Scars ni vile tu hawawezi kukiri. Imagine hiyo performance ya goat wao. Huyu ni goat kweli au Magoti Mkama wa Ukerewe?
Nilitaka kushangaa,mtu ambae ulisema kuwa unamkubali Ronaldo sababu ni Handsome,ana mapaja mazuri na mrefu,utashabikiaje Argentina.SPAIN wako anaenda kugongwa leo.
Mkuu sonona itakuua, habari za Messi achana nazo. Huyo mbuzi wako hakuna kitu hata kimoja anachomzidi Messi zaidi ya urefu na followers instagram 😂😂
Fighting against corruption will not be easyMkuu sonona itakuua, habari za Messi achana nazo. Huyo mbuzi wako hakuna kitu hata kimoja anachomzidi Messi zaidi ya urefu na followers instagram 😂😂
Safi sana. Leo ni burudani tu.Tangazo kwa Umma:
Umoja wa Mashabiki wa Argentina nchini Tanzania (UMATA) tunawakaribisha katika mtanange wa Fainali mashabiki wote wa soka.
Mechi ya leo usije na matokeo yoyote, matokeo utayakuta hukuhuku.
Ikitokea tumefungwa, kumbukeni tayari tushabeba ndoo hiyo mwaka 2022 pale Qatar.
Mechi ya leo ni Dulla anakutana na Abdallah hivyo mashabiki nguli hasa wa Real Madrid mchukue tahadhari.
Vibonzo vyenu vihifadhini maana havina nafasi hata tukifungwa.
Tunatoa pole kwa mashabiki wote wa Mbuzi Pori kwa kuhama kila kichaka katika kipindi chote cha mashindano na bado wakakutana na vipigo.
Leo tunabeba ubingwa mwingine huku Mbuzi akitajwa kama Mchezaji Bora wa Mashindano na lile puto la Ballon d’or tunalitaka.
Karibuni sana kwenye mchezo wa Fainali.
Muione taarifa kwenye jalada
Shadeeya
uran
OHB11
mwaibile
Am_tunnechi
Espy_
Proved
Xi Jinping
moudgulf
View attachment 3632486
Wamshukuru sana Messi hata cha kuongea wanapata.Mkuu sonona itakuua, habari za Messi achana nazo. Huyo mbuzi wako hakuna kitu hata kimoja anachomzidi Messi zaidi ya urefu na followers instagram 😂😂
Una umia sana kaka tazama tu usije kupata cancer ya ubongoSo hearly, na fellow minions ni shabiki wa Argentina
Na mnachukia hivi vitendo
View attachment 3632588
View attachment 3632589
View attachment 3632590
View attachment 3632591
Ila unatetea hivi vitendo View attachment 3632592
View attachment 3632593
View attachment 3632594
View attachment 3632584View attachment 3632585View attachment 3632586View attachment 3632587
Tupe sababu kwanini tusikuone snitch?
Anajibiwa kwa vitendo😀😀Pendu anapitia wakati mgumu sana kwenye maisha yake ya soka, na hii chanzo ni yeye mwenyewe matambo mengi na kujiona bora kuliko wenzake majivuni mengi sana yule mswahili wa ureno.
#Hallelujah!!!