2026 FIFA World Cup - Special Thread

Hii mechi ina matukio mawili tu ambayo ni muhimu.

Kwenye hayo mawili ushindi wa upande wowote sio sehemu yake.

Kane afunge au Mbappe afunge. Haya ndio matukio ambayo ni muhimu yanayotarajiwa na wengi kwenye hii mechi.
Your browser is not able to display this video.


Nashangaa baadhi ya wavimba macho humu

Eti yanafurahi kuona France anavyofungwa wanahisi hiyo inatuumiza sisi mashabiki wa France.

Wakati hata England kwetu ni mwanetu pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…