Ya kibabe sana!!Come back ya kibabe
Hahahaaa. Lol.Messi yupo tunachezaje mshindi wa tatu
Mkuu sema neno basi😂😂sijakuzoea hiviWe subiri mshindi wa tatu mkuu, huku hupawezi
Yaani Mtani sikupanga kuandika saa hii ila imebidi leo. 🤣🤣
SanaDuh!! Hawa Argentina hatari sana