2026 FIFA World Cup - Special Thread

Acha matusi
 
Nje moto ndani moto, half time tu wamechezeana foul mara 19, tusishangae red kadi huko mbeleni.
Hii ni vita isiyo na milipuko.
Ilikuwa hivyo 1986, England alikufa kibudu.
Ikawa hivyo 1998, England alikufa m, ikawa hivyo tena 2002 Argentina alikufa.
Timu hizi kila zikutanopo hukumbuka masahibu ya 1982. Falklands war
 
Jamani wakati waldi kapu inaanza mimi timu Ufaransa.
Baada kutolewa sina timu tena, hata hivyo nitampa sapoti mwenye uzi huu bro uran kushangilia Ingiland, hivyo basi team Argentina mabaya yawakute kwenye mechi hii😂😂😂.
Asante sana.
Mpira bado ni mgumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…