Morocco ni mdudu gani?Mnaacha kushabikia morocco mnakimbilia kwa wanariadha kisa eti timu imejaza weusi ๐ aibu gani hii!!
Germany out
Brazil out
Portugal out
Senegal out
France out
Cape Verde out
Netherlands out
Uswis out
Bado england yenu yenye rashford๐ ndio tumaini lenu sio! Au tunaenda na Argentina Saint Anne
Kuna sehemu CBC wameripoti hiki ulicho kiandika ww?Kwa hiyo unavyodhani wewe unahisi habari iliyowekwa na CBC inapingana na hoja yangu?
Utavoona wewe!We demu au me ๐๐๐
Kunafaika vipi, hamna kunufaika ni matokeo ya uwanjani,ndiyo yanayo determined utakutana nani. Argentina kama angekuwa na matokeo mabovu angekuta na Spain round ya pili? au may be angeshika nafasi ya pili kwako ndio ungeamini hapendelewi.Swali hujajibu, umejitengenezea swali ambalo umeona ni rahisi halafu ndio umelijibu.
Mimi sijahoji kama Argentina hajawahi cheza na Giant kwenye hiyo miaka 17.
Hoja yangu imelenga utetezi wako wa kwamba Argentina anakutana na timu dhaifu kwasababu inanufaika kupitia matunda ya kuongoza kundi.
Ndio maana nikahoji, katika historia ya miaka 17 ya kombe la dunia ni timu gani nyingine ambayo iliwahi kunufaika kwa kuongoza kundi na kufaidi matunda ya kucheza hadi robo fainali bila kukutana na timu ambazo zipo top ten ya ranking?
Mtu mmoja ajitolee kumshika mkono asije kupotea njia.
Msimu huu England hajakutana na top tenSwali hujajibu, umejitengenezea swali ambalo umeona ni rahisi halafu ndio umelijibu.
Mimi sijahoji kama Argentina hajawahi cheza na Giant kwenye hiyo miaka 17.
Hoja yangu imelenga utetezi wako wa kwamba Argentina anakutana na timu dhaifu kwasababu inanufaika kupitia matunda ya kuongoza kundi.
Ndio maana nikahoji, katika historia ya miaka 17 ya kombe la dunia ni timu gani nyingine ambayo iliwahi kunufaika kwa kuongoza kundi na kufaidi matunda ya kucheza hadi robo fainali bila kukutana na timu ambazo zipo top ten ya ranking?
CBC hawajaripoti hiyo quoteKuna sehemu CBC wameripoti hiki ulicho kiandika ww?
"Siku 9 kabla ya fainali FIFA na viongozi wa AFA walisaini mkataba wa mabilioni ya fedha yakitumwa kwenye account ambayo sio ya shirikisho la AFA (hii ni big point)"
Unaweza nioneshea kwenye,kama ww ulikiona.
Kwa hiyo matokeo ya uwanjani ndio yameanza kwa mara ya kwanza kuonekana msimu huu?Kunafaika vipi, hamna kunufaika ni matokeo ya uwanjani,ndiyo yanayo determined utakutana nani. Argentina kama angekuwa na matokeo mabovu angekuta na Spain round ya pili? au may be angeshika nafasi ya pili kwako ndio ungeamini hapendelewi.
Hoja zako hazieleweki unazungumzia hisia unasahau kinacho tokea uwanjani.
Belgium ni ya 9Msimu huu England hajakutana na top ten
hawajakutanaBelgium ni ya 9
Sawa muweke na Mexico hapo, na tena Croatia ambaye huyu ame drop hivi karibuni alikuwa hatoki kwenye top 15hawajakutana
Acha kufananisha goat na vitu vya kijinga
Sikujua kama mashabiki wa Saka mtanitafsiri kama namvunjia heshima GOTA wenu SakaAcha kufananisha goat na vitu vya kijinga
Saka naye ni goti?Sikujua kama mashabiki wa Saka mtanitafsiri kama namvunjia heshima GOTA wenu Saka
Ni GOATSaka naye ni goti?
Mkuu nimejikuta nacheka tu hilo neno eti "goti" Lol.Saka naye ni goti?
Hapana Mtani kwa kuwa katukimbia wacha na sisi tupite hivvii ๐ tukautwae ubingwa kwa mara ingine.