2026 FIFA World Cup - Special Thread

Eti hapa ndo kuna future baloon d or ๐Ÿ‘Ž๐Ÿ‘Ž๐Ÿ‘Ž๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Siyo mbape wala lamine wote ni ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ, sioni watu wakuja kuvaa viatu vya Messi na Ronaldo
Na huu ndio ukweli nina imani labda baada ya miaka 50-100 atakuja kutokea mchezaj wa kuvunja rekodi ya Messi na Ronaldo.
Kwa hawa watoto akina Lamine na Mbappe, sio hata dalili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ