2026 FIFA World Cup - Special Thread

Kama sio katika huu uzi basi kuna uzi nilisema Spain bingwa kabla hata mashindano hayajaanza.

By the way mechi ya kesho anashinda Uingereza

Fainali ni Uingereza na Uispania Bingwa Spain.
Akishinda uingereza uingereza bingwa
 
Kama sio katika huu uzi basi kuna uzi nilisema Spain bingwa kabla hata mashindano hayajaanza.

By the way mechi ya kesho anashinda Uingereza

Fainali ni Uingereza na Uispania Bingwa Spain.
Duh!.. wajukuu wa Charles wanatinga fainali kesho?...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ