2026 FIFA World Cup - Special Thread

France hawajilindi vizuri wana mapuuza. Spain wako more organized wanavyoshambulia kwa haraka.
France wakishika mpira wanazubaa wafanye nini. Kina Upamecano pale nyuma kazi kumpa kipa mpira, hatokuwa na umakini mara zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…