Paka kadai Spain wanatoka πMpaka iishe
Kweli wewe ni takataka pia kashabiki uchwara ka CR7 Unaandika ujinga ukiambiwa ukweli unaleta mambo ya jinsia.
Paka wa ubashiri yuko nchi gani na amebashiri nchi gani itatwaa taji?Paka kadai Spain wanatoka π
Kivipi?Hili kombe la dunia lishakua la kiboya sana.
Sijui bwashee ila alianza kuonyesha matumaini kwa Spain ila mwisho akala kibaba cha ufaransa πPaka wa ubashiri yuko nchi gani na amebashiri nchi gani itatwaa taji?
Wewe tokea limeanza huoni tatizo lolote.Kivipi?