2026 FIFA World Cup - Special Thread

Baada ya mechi kuisha kama Spain atafungwa wachezaji watalia uwanjani kisha wanaenda changing room. Kila kitu kinaishia hapo wanarudi makwao wanalipwa posho zao vizuri na wanaendelea maisha kama kawaida. Mimi hapa nabaki na maumivu balàaa wiki nzima nabaki narushiana maneno na Scars. Wakati huo wachezaji waliotolewa wapo vacation wanakula bata wala hawawazi.
Sasa kwanini niteseke kisa wametolewa.... Fvuck them, wafungwe wasifungwe non of my business. They don't know me, Thay don't give a shit about me.

Yo!, Just me working on Defense Mechanism 🫣🫣🫣🫣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…