2026 FIFA World Cup - Special Thread

Katika michezo 9 ambayo mbappe kakutana na Yamal eithe club au taifa Mbappe kashinda mmoja tu. Hii ni mwaka jana tu hapo France walipigwa mpira hatari. History haiongopi. Kipimo sahihi cha France ni Spain
 
Spain kwa Ufaransa hii ana kibarua kigumu ..
Sijakataa ila sio rahisi kwa Ufaransa kumpiga Spain kizembe zembe. Kazi sana kuzifunga timu zinazo miliki mpira, unachotakiwa kuwa very accurate kwa nafasi huzipatazo, maana sizani kama Ufaransa atapata nafasi nyingi.
 
Mkuu dharau pelekeaa dada zako au unganisha maza wako waambie wachome vitumbua uvae kanga zao muangalie hio kombolela.

Hunijui sikujui shostie sasa kuanza kubishana na mdada usiejua kudadavua mpira kwa ufasaha unakuja kuleta michambo ni kitu cha kukuunganisha na takataka tu
Hapana mkuu hatujalala wote ila nina hakika haujatazama mpira.

Kama kweli ulitazama na kuona mbeleko fc basi utakuwa haujui mpira so kachome vitumbua au angalia kombolela mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…