binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 15,316
- 41,478
Dah pole kamamaa, dawa ya jino wanasema kuliondoa tu.Yaani jino limenilazimu kuamka aisee๐๐
Mjukuu wa penaldo kuambiwa uatajikolea kitandan ni matusi? ๐คฃ๐ matako yako basi subiri uone Messi ๐ akitia baoMatusi ya nini mdau?
Karibu Dar bintiDah pole kamamaa, dawa ya jino wanasema kuliondoa tu.
Miaka ya nyuma kuna uzi humu mwamba mmoja aliupandisha jinsi jino lilivomlaza uvunguni, uzi unachekesha sana japo sio jambo la kucheka ๐
Mi nimeamka sababu nasafiri na SGR ya kwanza .
Unakaa wapi huko mbali hadi uamke mapema hivi?Dah pole kamamaa, dawa ya jino wanasema kuliondoa tu.
Miaka ya nyuma kuna uzi humu mwamba mmoja aliupandisha jinsi jino lilivomlaza uvunguni, uzi unachekesha sana japo sio jambo la kucheka ๐
Mi nimeamka sababu nasafiri na SGR ya kwanza .
๐คฃ AsanteKaribu Dar binti
Sio mbali sana, wanawake kujishika shika.Unakaa wapi huko mbali hadi uamke mapema hivi?
Atasema unamtukania wazazi ๐คฃ๐๐คฃ yaani hawa wajuku wa penaldo wanapenda nongwaUnakaa wapi huko mbali hadi uamke mapema hivi?
Na ile huduma yetu pendwa ya mapema. Usiogope, naomba nikurudishe tena siku nyingine.Sio mbali sana, wanawake kujishika shika.
Jina lako linatisha.
Aah ok, safari njema..Dah pole kamamaa, dawa ya jino wanasema kuliondoa tu.
Miaka ya nyuma kuna uzi humu mwamba mmoja aliupandisha jinsi jino lilivomlaza uvunguni, uzi unachekesha sana japo sio jambo la kucheka ๐
Mi nimeamka sababu nasafiri na SGR ya kwanza .
Dah huduma ipi hiyo tena?Na ile huduma yetu pendwa ya mapema. Usiogope, naomba nikurudishe tena siku nyingine.
Ooh!! Pole mremboAah ok, safari njema..
Dawa sio kuliondoa jmn, tutaondia mangapi?
5 nimetoa๐๐
Ni vile sijapata tu watu waxuri wa mitishamba sshv wengi feki mpk umpate wa ukweli ni kipengel...๐
Nitafanya ile ya kuua mizizi kutoa tena hapana aisee