Tuta la viaziTutaaaaa
Awee siyi rahisiiTatizo Inglandi ni kama Taifa Stars, wekeni akiba ya maneno usishangae wanaenda matuta wanatoka
Kwahiyo bwashee england inakupa raha?Ngumu sana
ππππ ShesRise_1Kwahiyo bwashee england inakupa raha?
Tungojee magical momentMechi ishaisha hii. Norway hawaleti matumaini
Kwasasa anahudumia ndoa wajua bwana ake alikua shabiki wa brasilππππ ShesRise_1
Watake radhi england kwa kuwafananisha na Taifa stars ππTatizo Inglandi ni kama Taifa Stars, wekeni akiba ya maneno usishangae wanaenda matuta wanatoka