2026 FIFA World Cup - Special Thread

Sio mchezo
Wee timu pekee iliyo undwa na wachezaji wa ligi ya ndani pekee kwa asilimia kubwa tunatarajia basi muonyeshe ulimaengu kuwa inawezekana...mweee!!!! Broos analetwa utopwinyoz. Kanikera sana uje. Wee mdau wakuonekana mchezajinwa kawaida wakati wote tunaojua mpira tunajua hakuna beki wakulia mzuri africa hii kama mdau
 
Jana wakamgeuza uchochoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…