2026 FIFA World Cup - Special Thread

Nadhani una tatizo binafsi la uelewa.

Romain Molina hajasema kwamba yeye ndio muanzilishi wa hii kesi, sio yeye sio mimi niliyosema hivi.

Nini kinafanyika wakati huu kinachoweka utofauti na jinsi ilivyokuwa operated hicho kipindi ambacho ilianzishwa?

Kuna taarifa mpya ambazo amezipata ambazo huko nyuma hazikuwa kujulikana, na kama zilijulikana badi zilikuwa kama tetesi, saizi amepata pa kuanzia.

Ni nini hicho alichopata?
Romain Molina amefanikiwa kupata nyaraka za siri zilizovuja zinazowahusisha FIFA na AFA kuzima kesi ya unyanyasaji kwa ajili ya kulindana kwa interest za kibiashara.

Wapi hujaelewa?
 
Umeanza kuandika utumbo, hizo nyaraka za siri ziko wapi wapi zimewekwa, wapi kasema hivyo
 
Argentina hii hii iliyoteswa na Misri na Cape Verde?
Shida Argentina ikicheza huwezi jua nani mvivu au nani ana bidii. Kila mtu unaona anavyojitoa kama anakufa leo. Hizi timu nyingine wavivu unawaona, wanaopambana unawaona.

Mfano hii England mpaka sasa ukiachana na Bellingham nani mwingine unaona ameonyesha jitihada kubwa?
 
Dah mkuu unatizamaje ball?
 
England wamekuwa watepetevu sana. Ila Argentina anaruhusu sana magoli. Hata hii mechi yao ya saa kumi ni ngumu sana kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…