2026 FIFA World Cup - Special Thread

Unasema fifa inahusishwa alafu hapo hapo FBI wao hawajaihusisha. Inahusishwa na nani? Uchunguzi wa awali wa FBI si lazima ungeihusisha fifa sababu walifanya hayo malipo?

Unasema kinachompa title huyo Molina ni uchunguzi wa unyanyasaji wa kijinsia? Nimekuuliza hapo huyo Molina ni nani?
Sababu ya kuuliwa hivi ni kwa kuwa haya yote hakuna jipya, hii issue ya sex abuse ni ya tokea 2022, iweje wewe Leo useme inampa title huyo Molina?

Hii issue ya sex abuse Mbona imeandikwa sana wakati huo, media zimepiga sana kelele kuhusu hii issue, nyie mnaijua Leo?
 
We subiria Molina aendelee Kutoa habari, huwezi mfananisha Molina na hivyo vijarida, unaweza ukauweka ushahidi hapa hizo hela zimeingia kwenye Mali za viongozi wa AFA
Nimetoka kukuuliza who is Molina? Sababu hii issue imeandikwa sana na media za kila aina, huko Argentina kuanzia media mpaka wachezaji wastaafu kama Tevez waliikomalia sana. So kipi special kwa sasa kwa Molina? Uko mwaka wa nyuma?
 
Molina ni reliable kuliko chombo chochote kile cha habari cha michezo, ni Julian Asange wa Mpira, scandal karibia zote kubwa yeye ndio whistleblower, ana reports kwa mamia zikiwa na accuracy kubwa mno.

Hii mega thread ya report zake zote kama humjui


View: https://www.reddit.com/r/soccer/comments/qx8akt/megathread_romain_molinas_the_guardian_ny_times/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…