Morocco forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,121
- 6,879
Na hao wengine je??Yamal
3-1Lakini Spain wakiwa kwenye ubora wao hawana tabia kutoa vichapo virefu kwa wapinzani wake.
Unakula chuma moja kisha wanacheza na mpira mpaka utafurahi
Kwahiyo hata Kipa hawana sio?Unajua kuwa hawa spain wana mchezaji mmoja tu
Kwahiyo hata Kipa hawana sio?
Wewe ronaldo fan sio?Game ya Moto
I'm falling in love with Belgium
siipend Spain pia😁
Tupo na ufaransa tunamtaka mbelgijiMashabiki wa ronaldo mpo na nani leo?? 😄 belgium sio??
Anashabikia ma underdog ndio maana anaishia kuliaNasikia jamaa akilishabikia chama lako jua mmekwisha 🤣🤣View attachment 3626616
Tupo na ufaransa tunamtaka mbelgiji
Lukaku anaingia kipindi cha pili tunamaliza gemu, Lukaku NI mzuri akitokea sub
Hawa Spain watakaa tu
Sawa tutaonaAhaaa, basi sawa...time will tell! Mashabiki wa ufaransa mnauogopa mziki wa spain