Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 3,210
- 9,056
Nyie wenyewe wajukuu wa kikongwe penaldo mnafurahi kimya kimya kuona MESSI π anabebwa na anabebeka ππ€£ sasa utambeba penaldo mifupa imekomaa hawezi hata kupiga Kona/faulo.Hiyo aiondoi ukweli kuwa mnabebwa full stop
Ronaldo hajawahi kubebwa anayebebwa anajulikana na dunia nzima inashuhudiaNyie wenyewe wajukuu wa kikongwe penaldo mnafurahi kimya kimya kuona MESSI π anabebwa na anabebeka ππ€£ sasa utambeba penaldo mifupa imekomaa hawezi hata kupiga Kona/faulo.
Raha ya kubebwa ubebeke,
Ilikuwaje akafutiwa red card !?Ronaldo hajawahi kubebwa anayebebwa anajulikana na dunia nzima inashuhudia
KabisaaMpira una maajabu yake, hamna aliye amini kama Paraguay wangemtoa mjerumani.
πππ
GOAT vipi tena, si tulikubaliana we ndiye GOAT..
π€£ π€£
Goat wao kacheza mechi zaidi ya 4 kafunga goli 3 πππ
Analilia nini?
Gianni Infantino ni Mswizi na game ijayo Argentina anacheza dhidi ya Uswizi
Uswis wamepita Kwa kubebwa siwamepambana π€£π€£Gianni Infantino ni Mswizi na game ijayo Argentina anacheza dhidi ya Uswizi
Guess what??
View attachment 3625044
Vibaya sana πDuh!...Messi Critics wanavizia sana siku Argentina ipoteze..
Huu Uzi utachafuka....
Halafu ni kundi kubwa kweli kweli...ππVibaya sana π
Kwasababu Nuru hupendwa na watu wengi.Halafu ni kundi kubwa kweli kweli...ππ
Man u + Madrid fancyHalafu ni kundi kubwa kweli kweli...ππ
Mtani namuwaza tu rafiki yangu Greatest Of All Time atazuiaje mashambulizi. πHalafu ni kundi kubwa kweli kweli...ππ
Hawaziki hao, wamehama tena..πππMashabiki wa Mbuzi mliohamia Misri,
Vipi msiba unaendelea au mnaanua matanga?