Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 3,210
- 9,056
Whatever the case Moroco hana team ya kuifunga France, yaani hata waombe msaada wa Egypt, bado ndani ya dk90 France anamuweka vzuri tu huyo Morocco.Katika historia ya kombe la dunia hakujawahi kutokea mechi ikapangiwa waamuzi wote kutoka nchi moja.
Kwa mara ya kwanza tangu mashindano haya yaanze mwaka 1930, mechi kati ya France Vs Morocco itasimamiwa na waamuzi kutoka taifa moja.
Hao waamuzi ni raia wa nchi gani? Jibu rahisi tu, wote wanatokea Argentina.
Another rigged tournament.
View attachment 3624725
Umeelewa hoja?Whatever the case Moroco hana team ya kuifunga France, yaani hata waombe msaada wa Egypt, bado ndani ya dk90 France anamuweka vzuri tu huyo Morocco.
๐๐คฃ Alikukosea nini huyu jamaa? Ongea tu ukweli tutakuelewaWasio tazama mechi za Argentina wanaweza kusema hapa Messi alikuwa akiangalia mbinguni wakaanza kumpa sifa za ucha Mungu.
Nuh bro you're wrong, he's looking at Infantino in the stands up topView attachment 3624730
matapeli siku zote wanakushawishi ufikirie kuwa hisia au ushahidi ulio nao mbele ya macho yako sio sahihi, na badala yake uamini kile wanachokwambia wao.Wewe kutapeliwa inaonekana ni rahisi sana.
Mbali na uchekeshaji ni kipaji gani kingine ulichonacho?matapeli siku zote wanakushawishi ufikirie kuwa hisia au ushahidi ulio nao mbele ya macho yako sio sahihi, na badala yake uamini kile wanachokwambia wao.
Matapeli pia hukataa kabisa makosa au ushahidi wa wazi unaowaonyesha ili kukulazimisha ukubali matakwa yao.
Mfano Messi ameonekana ana kiwango kizuri kuliko Ronaldo , unaona kabisa Argentina inasonga mbele na Messi anaendelea kupiga nyavu, halafu tapeli anataka kukuaminisha Messi si chochote...
Wewe huwezi kunitapeli..
Ninasimamia kile ninachokiona na kukijua badala ya kubadilisha mawazo yangu haraka pale unapopinga...
Bro, Messi ni Messi tu...
Da'Vinci
Acha utapeli Scars kama umechukia chukua jembe ukalime..
Familia yako inafahamu kuwa wewe ni comedian au tunajua peke yetu tu huku JF?matapeli siku zote wanakushawishi ufikirie kuwa hisia au ushahidi ulio nao mbele ya macho yako sio sahihi, na badala yake uamini kile wanachokwambia wao.
Matapeli pia hukataa kabisa makosa au ushahidi wa wazi unaowaonyesha ili kukulazimisha ukubali matakwa yao.
Mfano Messi ameonekana ana kiwango kizuri kuliko Ronaldo , unaona kabisa Argentina inasonga mbele na Messi anaendelea kupiga nyavu, halafu tapeli anataka kukuaminisha Messi si chochote...
Wewe huwezi kunitapeli..
Ninasimamia kile ninachokiona na kukijua badala ya kubadilisha mawazo yangu haraka pale unapopinga...
Bro, Messi ni Messi tu...
Da'Vinci
Acha utapeli Scars kama umechukia chukua jembe ukalime..
Walikuwa mbele kwa goli mbili , je goli 2 za Argentine ni za kubebwaHuwezi ku rule out kuwa kulikuwa na foul kwenye build up kuelekea goli la 3 La team fifa, wanabebwa sana hiyo ipo wazi
Ronaldo ni hatari kuliko Messi.. hatari sana..Wale watu waliokuwa wanahoji kwanini Ronaldo anaonekana kuchukiwa, kwanini ana ego.
Majibu ni haya.
Kwenye moments kama hizi Ronaldo hajawahi kukaa kimya na akiongea anaongea kwa tone ya kukemea na sio kufanya blanda za kumkanda umbwa ufyele.
Wahusika wa matukio huchukia sana kwasababu wamekuwa exposed na jamaa influence yake ni kubwa hivyo ujumbe unasambaa kwa haraka zaidi.
Ndio maana FIFA wakaamua kumpandisha Messi kwa kumpa treatments za juu ili awe mshindani wa Ronaldo na aweze kumvua crown yake.
View attachment 3624734
Familia yako inafahamu wewe ni tapeli?Familia yako inafahamu kuwa wewe ni comedian au tunajua peke yetu tu huku JF?
Naheshimu mawazo yako kila mtu na mtazamo wakeWalikuwa mbele kwa goli mbili , je goli 2 za Argentine ni za kubebwa
Bado ipo weakness from 2-0 to 2-2 over 80min
Shame
Usijali mimi sio huyuFamilia yako inafahamu wewe ni tapeli?
Uonezi upi? ScarsNachukia uonezi.
Inaonekana Messi ndio tafsiri ya hilo neno kwasababu kila muda napoongelea tatizo la uonezi lazima jina lake litahusishwa.
This is what disgusting me
Messi ana mabao 672 Barcelona, na mabao 122 Argentina yote alibebwa...?Argentina na Messi kubebwa