2026 FIFA World Cup - Special Thread

Kumbe wewe ni mkubwa yaani uliumia mwaka 2010?
Mkubwa kivipi ? 2010 nipo darasa la 3 , nilianza ushabiki wa mpira 2008 nipo darasa la kwanza .

Nilipofika kuanzia la 3 nilikuwa natoroka nyumbani kisa kucheki Man U UEFA au gemu za usiku , nilikuwa nimekariri karibia wachezaji wote wa Man U na nafasi zao mpka watu wazima wakawa wananiogopa wanaona huyu dogo kwa mpira ameshindikana
 
Ndio mpira ulivyo mkuu, Leo unakumiza kesha unakupa furaha. Sema mie ninacho mshukuru MUNGU ni kutojiingiza kwenye masuala ya kubeti.
 
Mkuu pole.
Out of Point 2010 ulikuwa bado shule ya msingi?
Inamaana unapishana kidogo umri na first born wangu 😃😃
Ndio mkuu nipo darasa la 3 kipindi hiko . Kombe la Dunia 2010 nilikuwa Brazil shabiki mkubwa namba 9 wao Luis Fabiano mechi ya ufunguzi na Ivory coast alipiga kamba mbili tukaja kutolewa na Netherlands huo ndio ukawa mwanzo wa kuichukia Netherlands mpaka Leo na nilifurahi sana Spain walipotwaa ndoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…