Yaani sio kwa texts na calls nilizokuwa napokea za masimango!! Kesho kazini ingekuwa kinyonge sanaaa🤣🤣Mimi nilishindwa hata ku'like wala ku' comment chochote hapa....
Nikasema fedheha hii...Ntaambia nini watu😀
Asante, nimeona kama kuna crying room, nibebeni mnipeleke huko Kuna vifaa na mazingira supportive ya kuliliaPole mkuu😂
Hivi na wewe kobaz unawakataa waarabu?Habari mkuu upo na hali gani?
Hapo sina timu yeyote ashinde but kama shabiki nachagua ColombiaColombia au Uswisi?
Tena kubwa , ile Yanga na Mamelodi sisahau sikulala usiku niliishia kugeuka hovyo kuugulia maumivu makaliNimeani mpira ni chanzo cha depression kama usipokua makini.
Yeah 😃😃😄😄😄😄😄
Refa msheeee sana
No way shabiki damdam mwamwiiii
Tunasubiri saa 5
Ungeenda kuongeza nguvu tu naimani mgeweza kushikilia bomba vyemaDaaah! Nimeumia sana moyo na roho leo nitalala na huzuni sana 😭
Walivyofunga goli la tatu, almanusura nipasue tv yangu, hakika sijawahi kupata huzuni na hasira toka world cup ianze kama leoPole sana ustaz wangu, VUMILIA
Mkuu, wewe ni team Cr7?Haiwezi kamwe haiwezi kamwe hata kama leo wananilaza na huzuni moyoni in short Argentina siyo timu bora inashinda kwa kusua sua tu
Nashukuru sana kuelewa maumivu yangu kuhusu ushindi huu wa ArgentinaHuwezi kubahatisha huku ukiwa umelala usingizi,
Ila pole sana,i can feel your pain.
Kobaz ni nani?Hivi na wewe kobaz unawakataa waarabu?
Pole sana mkuu, kuna crying roomWalivyofunga goli la tatu, almanusura nipasue tv yangu, hakika sijawahi kupata huzuni na hasira toka world cup ianze kama leo
WeweKobaz ni nani?
Mkuu ntaficha wapi sura yangu mimiUmechelewa sana kumpa ushauri mkuu.