Kweli, fifa ni yenu kweli
Mnoooo love.Inasikitisha sana...
kwa kweliMisri walitangulia Stendi wakati Argentina ndio wenye nauli.
Numbisa alikua ananionea. Afadhali sasa sijui kajificha wapiNilikuwa nakusoma hapo juu hadi huruma. π€£π€£
Walau sasa eeh.
Uthiku mwema
Alipangalo Mungu, binadamu hawezi lipanguaπππππ
Wallah uchawi upo lakini
Vp bwashee england umehama?Uonevu unauma sana
Hapa namzunguzia GOATπKuna got na GOATπ€£π€£π€£π€£
Nani angetoka ili aingie nani ndio tatizo. Sub iliyofanyika kumuweka nje Hussein imeacha mwanya.Wew unavyona misri walikua hawaitaji subs.