Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,447
- 17,931
Where is penaldo??
#Hallelujah!!!
πππMtu akakae na Wajukuu
Nafasi hizo Spain walizitengeneza wao. Hata Portugal alikuwa na mwanya wa kuzitengeneza kuzitumia au kutozitumia. Ndio nilichoandika mwanzo, Portugal uchezaji wao sio wa kuridhisha kwenye kushambulia.Nafasi walizotengeneza Spain wangezipata Portugal wangekuwa wanaongoza bao 5 mpaka sasa
ππππππChristina analaumu wenzake baada ya kupigwa bao paleeπππππ
Spain wao wanaridhisha kwenye ushambuliaji wao ambao wanakosa nafasi nyingi?Nafasi hizo Spain walizitengeneza wao. Hata Portugal alikuwa na mwanya wa kuzitengeneza kuzitumia au kutozitumia. Ndio nilichoandika mwanzo, Portugal uchezaji wao sio wa kuridhisha kwenye kushambulia.