T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,789
- 46,662
Kwa akili yako hapa kwa chini chini ukute umeona namsema Ronaldo. Anaweza akafa yule ni mtu, sio timu. Unapeta ushabiki lialia wa mchezaji kwenye maslahi ya timu.Spain walitakiwa kuitumia hiyo opportunity kufunga.
Mbona bado nyau nyau?
Mkakati mbovu, halafu mpinzani anashindwa kuona nafasi ya kunufaika kupitia huo udhaifu, hapo nani ni dhaifu?
Au tuseme Spain hawajaweza kuona hiki ulichokiona?
Yote naonaKwa akili yako hapa kwa chini chini ukute umeona namsema Ronaldo. Anaweza akafa yule ni mtu, sio timu. Unapeta ushabiki lialia wa mchezaji kwenye maslahi ya timu.
Uko obsessed nae hata mpira huoni kinachoendelea. Possession, shots on target, possible goals zote Spain inaonekana. Portugal haikai na mpira, haipangi mashambulizi ingawa inalinda vizuri.
Adris de mbusii toka hapo kwa dada ako shenziii🤣🤣Nipo kwa shemeji kagoma kulipia kinga'muzi napita na TBC tu , nimewakimbiza watoto sebuleni walikuwa wanacheki movie kwenye flash nikatumia udikteta kama Mbappe , bando langu nahifadhi kwa ajili ya kuStream mechi za night Kali nikiwa chumbani kwangu.
Kwenda front siwezi nalinda mbupu zangu kwanza kwa ajili ya manufaa ya baadae
Alkhasusu ya leo sio ya kubezaMmemuona babu hukoo??
Nipo kwa shemeji kagoma kulipia kinga'muzi napita na TBC tu , nimewakimbiza watoto sebuleni walikuwa wanacheki movie kwenye flash nikatumia udikteta kama Mbappe , bando langu nahifadhi kwa ajili ya kuStream mechi za night Kali nikiwa chumbani kwangu.
Kwenda front siwezi nalinda mbupu zangu kwanza kwa ajili ya manufaa ya baadae
Nilikuwa mkoani mara moja nimerudi tena Dar kufikia kwa sister kusikia mchongo , mchongo ninaousikikizia ukitiki sindaondoka kwa sister bali nchi yenyewe hii Tz nitaondoka kabisa InshaAllahAdris de mbusii toka hapo kwa dada ako shenziii🤣🤣
Usiwastue wanaweza ku cashout.Besela
Uliweka over 1.5?Dakika zinakimbia
Siku hizi sina Vibe na banda umiza kabisa , naona bora kuStream