2026 FIFA World Cup - Special Thread

Jamani mnaona soka la wenzetu sijui tufanyaje na sisi tufikie hapo nadhani siasa ya michezo ife
Tuache kutumia matako kufikiri.....
Kila shule hamna kupata usajiri mpaka uwe na viwanja vga michezo yote.
Pili hamna mtoto yoyote yule awe la saba form 4 au form 6 kupewa cheti kama hajamaliza masaa kazaa ya michezo ili kukamilisha matakwa ya kupata cheti. Hapo lazima utapata wachezaji wanaojielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…