2026 FIFA World Cup - Special Thread

Mnamuona Haaland?

Mnamuona akicheza kama playmaker humu?

Huyu ni kijana wa miaka 25 na bado anasubiria aletewe mipira. Lakini mwenye miaka 41 akifanya hicho hicho mnamuita mzigo anaigharimu timu.

Mnataja awe ana struggle kiwanjani kukaba kutafuta mipira, afanye dribbling azunguke kila upande wa uwanja.

Hamko fair
 
Offtarget
Your browser is not able to display this video.


On target
Your browser is not able to display this video.
 
😃😃 Halaand ni mshambuliaji wa asili kabisa.
 
Norway kwa kiasi flani wamefanikiwa kuziba ile gap iliyokuwepo dakika 20 za kwanza...

Sasa hivi wamebakisha kitu kidogo tu kwenye namna wanavyofanya mashambulizi.

Bado mpango wao hauko wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…