2026 FIFA World Cup - Special Thread

Kabisa ila kwa hii namna ya Norway unaona kabisa kuna gap la wazi.
Watazuia mara kadhaa ila kuna mara watakayo fungwa
Kocha ameingia na hiyo mbinu ya kufanya mashambulizi ya kasi ili apate goli la mapema.
Lakini mbinu hiyo ina madhara makubwa ya kushambuliwa kwa kushtukiza "counter attack "
 
Hawa Norway wasije wakanifanya nikajuta kukaa macho hawa. Naona wana dalili kabisa za kupoteza 😭
Yaaani tutapigwa kirahisi, simply kwa namna wanavyo react wakiwa na mpira...
Anyway ngoja tuone kama wataziba gap wakati baada ya hydration break.
 
Cunha ni muongo muongo sana huyu jamaa, hapa kama kawaida yake ana dive halafu anamsikilizia refa.

Kuwa refa kwenye mechi anayocheza huyu jamaa unatakiwa uwe kauzu sana, vinginevyo utajikuta unatoa penati hata 5


Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…