2026 FIFA World Cup - Special Thread

Namna ambavyo Norway wanakaa wakiwa na mpira ni udhaifu mkubwa sana.

Wakipoteza inakuwa gharama kubwa sana! Wanatoa mwanya wa wazi wa kufanyiwa counter attack
 
Tatizo Cunha naye ana historia mbaya ya diving


Your browser is not able to display this video.


VAR confirmed
Your browser is not able to display this video.


Bruno Guimaraes misses the penalty

Your browser is not able to display this video.
 
Kabisa ila kwa hii namna ya Norway unaona kabisa kuna gap la wazi.
Watazuia mara kadhaa ila kuna mara watakayo fungwa
Kocha ameingia na hiyo mbinu ya kufanya mashambulizi ya kasi ili apate goli la mapema.
Lakini mbinu hiyo ina madhara makubwa ya kushambuliwa kwa kushtukiza "counter attack "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…