2026 FIFA World Cup - Special Thread

Wakati Messi anafanya maamuzi ya kustaafu baada ya kukosa penalti ya ushindi mwaka 2016.

Your browser is not able to display this video.


Ronaldo alikuwa ni miongoni mwa watu waliomtia moyo na kumshauri arejee tena kuitumikia timu yake ya Taifa kwani ups and downs kwenye mpira ni kawaida.



Na ndio huo mwaka ambao Ronaldo alikuwa ametoka kubeba UERO. Lakini bado alimtia moyo Messi kuwa asi give up.



Hii ndio sababu Ronaldo anaonekana kuwa favourite kwa watu wengi.

Pamoja na magumu yote anayopitia kuanzia kwenye mifumo hadi media bado jamaa amekuwa na kifua cha ku handle hizo trauma.
 
Hivi huu nao si ni ugonjwa jamani!! Mbona uko obsessed sana na MessiπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…