Na pia tunaweza kusema hata Paraguay walikuwa dhaifu siku hiyo.Ukweli ulio wazi US alikua Bora, Leo France sio bora
Kwa perfomance waliyoionyesha France , kila timu inaiogopa sana hivyo wanatumia mbinu na kujituma zaidi...USA alikuwa rahisi kumfunga kwasababu hakuwa tishio hivyo Paraguay hakuwa na mikakati ya kuzuia sana.
France imecheza fainali, na pia ndio timu inayopewa nafasi ya juu kuchukua huu ubingwa lakini kama haitoshi performance yake imekuwa ni kubwa sana.
Nimeshaona watafungwa soonNa pia tunaweza kusema hata Paraguay walikuwa dhaifu siku hiyo.
Namna ambavyo wanamnyima utulivu Mbappe, Olise, Dembele kule mbele haiwezi kufananishwa na jinsi walivyokuwa wanacheza na USA siku hiyo
“Tulifanyiwa fitina kutoka kwenye uongozi wetu. Hotel mbaya. Chakula kila mtu anajitegemea tunakula migahawani wengine wakiagizia kwa delivery. Tulikosa morali tangu mechi ya kwanza. Uongozi umetuhujumu na wananchi walijue hilo”View attachment 3620558