2026 FIFA World Cup - Special Thread

Daah! Pole sana.
 
Sasa wewe unashimdwa kukielewa hata kila unacho kianzisha na sizani utanielewa na sihitaji unielewa.
Rejea post yangu uliyo quote, kisha soma tena hiki ulichokiandika halafu unipe sababu kwanini nisi-doubt uelewa wako.
 
People are going crazy when they see the real G

Your browser is not able to display this video.


Hawa wote hawa wako hapo kwa mapenzi yao

Still wonder, how the hell JoΓ£o Neves had the nerve to say Cristiano Ronaldo is "just another player here to help
Your browser is not able to display this video.


Can you relate?
 
Kabla ya Hilo tukio Kuna mido km sikoa touchmen wa ufaransa alimfanyia madhambi Messi katikat ya uwanja ikapigwa pasi ikamfikia kolo muan

messi alisukumwa na akapigwa kiatu akaanguka refar akameza filimbi
 
Ndio maana nikakwambia ukiwa wewe mwenyewe huelewi, unavyo vianzisha mimi ndio utanielewa, ndio maana sihitaji unielewe.
View attachment 3621492
Imenibidi tu nicheke maana mwanzo nilijua unafanya makusudi.

Post niliyokuambia uirejee ni hii

Lengo lilikuwa ni kukumbusha kusoma na kutambua kilichoandika kimegusa nini.

Maana hapo nilikuwa nimefanya criticism kupima umakini wako wa uelewa.

Then ukaja kurudia kosa lile lile. Kikawaida ungekuwa umenielewa usingethubutu kurudia hizi errors.


Hii imenifanya nione kama hufanyi makusudi kama ambavyo nilikuwa nafikiria. At this point hatuwezi kuelewana prolly una mambo mengi yana spin kichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…