Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,534
- 61,962
Leonard Musikula ๐ฎ๐ฎMtangazaji wa azam alimnanga sana
Yule Mzee aliona mbali , ujue uzee Ni busara,cha Ajabu alishambuliwa na kuonekana kama mbaguzi
Morocco akutete wewe๐๐๐,Morocco ndio mtetezi halisi wa ngozi nyeusi kwenye mpira
Nyinyi wenyewe weusi mpo wapi mpaka muwape wao majukumu yenuMorocco ndio mtetezi halisi wa ngozi nyeusi kwenye mpira
Edo Kumwembe studio alisema havai viatu mpaka Senegal ashinde๐
Ndio kwenye mpira wa Africa ndio mtetezi wetu Mimi na weweMorocco akutete wewe๐๐๐,
Kawaponza๐๐
Waafrica tunaweza uchawi tu
Si wamezoea makocha Wamatumbi wanafanya calculations kwa macho, wanakariri maamuzi, wanafanya sub uchwara.Mtangazaji wa azam alimnanga sana
Sisi hatuna uwezo wa kujiteteaNyinyi wenyewe weusi mpo wapi mpaka muwape wao majukumu yenu
Harry Kane alirogwa vbaya mno nlibaki nacheka tu ile game ๐๐๐๐, watu Wana focus na game,sisi tuna focus na uchawi ๐๐๐,Waafrica tunaweza uchawi tu