2026 FIFA World Cup - Special Thread

Anayeweza kuwazuia ufaransa ni spain tu. Anawabonda vizuri sana. Bayern mwaka huu ilikua hivohivo ukikutana nayo unapigwa nyingi ila uliona walivyokutana na aseno. Walipigwa tatu kama wamesimama
Mkuu unajiamini sana, lakini kwa jinsi France wanavyopiga mpira sidhanikama Spain wanaweza huo mziki, anyway nitunze maneno..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…