Mi nitaendelea kuzishabikia timu zote pinzani itazokutana nazo.
Isipokuwa kwa Spain na Argentina hapo ndio ntarudisha uzalendo.
Kwa hiyo mpaka sasa umeshaumia vya kutosha🤣🤣🤣Mi nitaendelea kuzishabikia timu zote pinzani itazokutana nazo.
Isipokuwa kwa Spain na Argentina hapo ndio ntarudisha uzalendo.
Uzuri ikitolewa hiyo, kesho yake wachezaji 8 wa Barcelona wanarudi Camo Nou kujiandaa na pre season.Wale Spain wazee wa side passes hawaendi popote.
Hili kombe la France labda wapoteze wenyewe.
Bado sanaKwa hiyo mpaka sasa umeshaumia vya kutosha🤣🤣🤣
Ngumu sanaaMaajabu ya mpira mara paaap Sweden kampiga France
Takwimu zinaonyesha asilimia kubwa ya matokeo ya kombe la dunia yamekuhuzunisha na asilimia ndogo pekee ndo umefurahi
Tukio la kinyama kama hili ni Gadafi tu ndio anaweza asihuzunishwe.Takwimu zinaonyesha asilimia kubwa ya matokeo ya kombe la dunia yamekuhuzunisha na asilimia ndogo pekee ndo umefurahi
Hamna kazi pale Barcelona walipima wakaona chemga tu yule..miguvu tuDiomande sijaona makeke yake anakuzwa sana na media tu
Hamna kitu hapo hujaliona la PacomeTukio la kinyama kama hili ni Gadafi tu ndio anaweza asihuzunishwe.View attachment 3619301