Round ya mtoano !?Mechi zinaanza rasmi leo sasa.
Wangemaliza wa kwanza kwenye kundi huenda wangecheza Robo fainali na Argentina....ila ngoja tuone mwelekeo waoHawajawahi kuwa watesi wetu wao ndio wanalzimisha league na sisi π
π| BREAKING: Colombian goalkeeper had more touches than Ronaldo tonight.π³View attachment 3617327
πππUmeamua kutusagia kunguni mkuu
Changamoto kweli kweli. Saahz wanadai njia ya Argentina inaonekana kuwa nyepesi mnoo kwenye hatua zijazoExactly
Ni uvivu wa kuwajibikia makosa Yao so wanatafuta scape goat
Sindio πNani kawazuia kuongoza kundi? Mngeshinda ndio mkajua hamjui
ππ ni kina nani hii wiki nilifungiwa ujueHujapanga kuwakataa wabaguzi?
Penadol mbona hayupo !? Hii ni batili
βΊοΈβΊοΈπ¨π£οΈ Zlatan Ibrahimovic: "Scoring 6 Non Penalty World Cup goals at 39 years of age is making me pinch myself. He's my clear favourite for the next Ballon d'or, i hope i'd get the opportunity to award him on the stage this time." (laughs)
Labda atangazwe na ile tume yetuPenadol mbona hayupo !? Hii ni batili
He's afraid πHii nayo mbona hujaleta?
πLabda atangazwe na ile tume yetu
πHii nayo una kumbukumbu nayo mkuu?
ππ The ππ¨ BREAKING: Cristiano Ronaldo has become the player caught offside the most times in FIFA World Cup history. π΅πΉπ₯