Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,541
- 61,992
Saahz wanakwambia Messi anakutana na timu nyepesi, sababu tu wanaona kafunga.Vitu napenda kuona 😂😂
Peleka moto 🔥🔥🔥🔥Saahz wanakwambia Messi anakutana na timu nyepesi, sababu tu wanaona kafunga.
Siku zote kazi ni nyepesi kama huifanyi wewe
Nani kawazuia kuongoza kundi? Mngeshinda ndio mkajua hamjuiHaters wanafurahia kuona GOAT akiwa na siku mbaya ili wasikutane naye Quarter final.
Nawakumbusha tu sio kila siku Mungu atakuwa anasikia dua zenu. Kuna time atachoka and I'll be there when that time arrives
View attachment 3617325
Colombia katuzuiaNani kawazuia kuongoza kundi? Mngeshinda ndio mkajua hamjui
Penaaaati 🤣🤣🤣🤣🤣Ni timu gani inayo kujia kichwani baada ya kuona hii picha
View attachment 3617333
Na Congo.Colombia katuzuiaView attachment 3617334