Naomba sana Mungu hili lisitokee sijui nitakua katika hali gani.🚨 If Uruguay win against Spain we could possibly get ARGENTINA vs SPAIN in the R32.
Reminder: Uruguay MUST win to have a chance to qualify.
Lakini wewe mwenyewe si umeona alama ya kuuliza uliyoweka?Swali gani?
Liweke hapa
Don't worry, FIFA has got your backNaomba sana Mungu hili lisitokee sijui nitakua katika hali gani.
Itakua siku ngumu sana kwangu
View attachment 3615714
Nioneshe ulicho kiona baada ya translationLakini wewe mwenyewe si umeona alama ya kuuliza uliyoweka?
Kmmk 🙌😄Meet a 16 years old Ghanian goalie View attachment 3615715
Kwamba huyu dogo ni overated!?If Yamal was doing what Vini is, they'd hand him this Ballon d'Or and probably the next one too.
This is how we say he's overrated View attachment 3615705
Nioneshe ulicho kiona baada ya translation
Hahahaaa wewe jamaa bwana dah.Don't worry, FIFA has got your back
View attachment 3615718
Yes he's overratedKw
Kwamba huyu dogo ni overated!?
Ubongo wako una cancer or itakuwa haujawahi kucheza mpira ni bendera fuata upepo sio Bure 🤣🤣
Hahahaaa wewe jamaa bwana dah.
John teeelly john teellyyyh john teelly😂😂😂
Ujumbe mzito sana huu🚨 Zlatan Ibrahimovic after South Africa beat South Korea to qualify to the next round
🗣️ “I think this is a message to FIFA, they need to bring more African countries to the World Cup. Nigeria should be here too. Africa’s football is different. They don’t play unnecessary passes. when they get the ball, they attack you immediately. That’s the kind of football we want.
Europe’s football is boring, too many back passes and too many tactics. Morocco and South Africa have qualified to the next round. Morocco is the best Africa team in having possession. South Africa is the best in counter attack.
I think an African team will reach the semifinals this year. I’m happy,they deserve it. Africa should be the best, Mbappe should be playing for Cameroon, Olise should be playing for Nigeria and same for Vini too. I wish the whole of Africa luck in this tournament”. 👏
Hawa wapange tu matokeo, watoe sare wote wapite.Tareh 27 wapo na Egypt ndani ya Nyumba kuzitafuta nafasi,
Sahihi kabisa.moja ya tofauti kubwa niliyo iona ukilinganisha timu vibonde kwenye kombe la dunia na timu vibonde kwenye afcon ni kwamba kwenye world cup timu vibonde wana uwezo wa kufanya counter attacks hatarishi na zenye kuzaa magoli. kwenye afcon timu vibonde walikuwa wanapaki basi lakini counter attacks zao zilikuwa but. kwa kuongezea zaidi counter attacks zenye mafanikio kwenye afcon zilifanywa na zile timu kubwa; senegal alikuwa kinara wa hili ivory coast pia.