Ikiwa watashinda mchezo wa mwisho na kumaliza nafasi ya tatu katika kundi hawatatoka moja kwa moja Pointi na mabao waliyopata kwenye ushindi huo vitasubiriwa kulinganishwa na timu nyingine zote zilizomaliza nafasi ya tatu kwenye makundi mengine 11 Kama watakuwa miongoni mwa timu 8 bora zaidi za nafasi ya tatu, watafuzu kwenda hatua inayofuataYaani acha tu mwaya.
Hebu waje wazee wa calculations watuambie je ikitokea kashinda mechi ijayo vipi atakuwa na nafasi ya kupata hata ubest looser au ndo mpaka sasa ameshatoka mazima?
Kumbe this time best loosers wanatakiwa 08.Ikiwa watashinda mchezo wa mwisho na kumaliza nafasi ya tatu katika kundi hawatatoka moja kwa moja Pointi na mabao waliyopata kwenye ushindi huo vitasubiriwa kulinganishwa na timu nyingine zote zilizomaliza nafasi ya tatu kwenye makundi mengine 11 Kama watakuwa miongoni mwa timu 8 bora zaidi za nafasi ya tatu, watafuzu kwenda hatua inayofuata
OKMechi ya pili Cape Verde walitoka sare ya 2-2
Mechi ya mwisho kama watapata sare ya 1-1 hapo itategemeana na mechi ya Spain na Uruguay itaishaje.
Endapo Spain atashinda hiyo mechi maana yake hapo Cape Verde atasogea nafasi ya pili kwa kuwa na pointi 3
Nimeona hapo juu kuna Mkuu kasema best looserswanatakiwa nane ambao hao watakuwa ni washindi watatu wa kila kundi na hapo wataangalia wenye points nyingi zaidi wanavuka.Keshatoka, ht akishinda mechi ijayo atakuwa ana point 3 tu
Yeah, I know. Sijui ilikuwaje nokaandika hio 0-0Cape verde mechi ya pili kadroo 2-2
OK, kumbe mara hii ndio kuna hio best loosersNimeona hapo juu kuna Mkuu kasema best looserswanatakiwa nane ambao hao watakuwa ni washindi watatu wa kila kundi na hapo wataangalia wenye points nyingi zaidi wanavuka.
Kama ikitokea kashinda tunaweza subiri tuone kama wanaeza pita.
Hii sijaelewa
Leo Ronaldo asipofunga utanikomaOnce upon a time in England league kulikuwa na timu moja tu iliyobahatika kuwa na GOAT
View attachment 3613919
Vilabu vingine vilikuwa vinapata sonona kuona timu zao hazina nyota wa kumlinganisha na Ronaldo.
So ikawabidi wahamie Barcelona
View attachment 3613923
Na walio wengi ni wale ambao timu zao ziliadhibiwa vibaya na Ronaldo.
View attachment 3613926
Magoli mawili kwa MbappeLeo Ronaldo asipofunga utanikomaView attachment 3613969
Santo sana rafiki nanyi pia kila la kheriiiiKila la kheri rafiki mi natembea na Germany.
Mkuu umeona GOAT wako kasanda umehamia kwa Mbappe... Huyu Mbappe ni mtoto mdogo hawezi mziki wa King Messi.Magoli mawili kwa Mbappe View attachment 3613981
Ili kumthibitishia Messi kwamba hauhitaji miaka 20 kuvunja rekodi View attachment 3613980
Wala kubebwa
View attachment 3613979
Pamoja sana rafiki. 🤝Santo sana rafiki nanyi pia kila la kheriiii
Labda tumuite Mwasibu alete hesabu zake Kali za Kihasibu tuone itakuwake 😆Yaani acha tu mwaya.
Hebu waje wazee wa calculations watuambie je ikitokea kashinda mechi ijayo vipi atakuwa na nafasi ya kupata hata ubest looser au ndo mpaka sasa ameshatoka mazima?
Goti hajasanda ila nilikuwa nawakumbusha tu kuwa Mbappe ataenda kufukia hivyo virekodi na hakutakuwa na stori.Mkuu umeona GOAT wako kasanda umehamia kwa Mbappe... Huyu Mbappe ni mtoto mdogo hawezi mziki wa King Messi.
Mi naona GOAT Ronaldo ndo atafukia hivyo virekodi,, au we unaonaje Ronaldo hawezi kweli kuvifukia hivyo vijirekodi?Goti hajasanda ila nilikuwa nawakumbusha tu kuwa Mbappe ataenda kufukia hivyo virekodi na hakutakuwa na stori.