Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 26,532
- 61,955
KwaniniHiyo ni must watch game
Yule "Siuuuuu" hata hapo haonekaniLionel Messi has now scored the most goals in FIFA World Cup history.
18 - Lionel Messi 🇦🇷
16 - Miroslav Klose 🇩🇪
15 - Ronaldo 🇧🇷
14 - Kylian Mbappé 🇫🇷
14 - Gerd Müller 🇩🇪
13 - Just Fontaine 🇫🇷
12 - Pelé 🇧🇷
Kufunga magoli sio sawa na makalio kusema kila mtu anayo.Tangu mechi ya kwanza na ya leo sijafanikiwa kabisa kuitazama Argentina ila swali langu ni moja tu,
Kwani hiyo team nzima ya Argentina yenye wachezaji 11 uwanja na benchi la ufundi nje mfungaji ni mmoja tu, Messi?
Au anaanza yeye mwenyewe tu bila wachezaji wengine?
Msaada tafadhali
Kwanza haitakuwa na penatiKwanini
Sawa mkuuKwanza haitakuwa na penati
Pili kuna damu changa ambao ni hard workers ambayo haihitaji jeki wala kutafuniwa kama Olise, Mbappe ambao wanavutia zaidi kuwatazama
Jamaa anacheza na team wanajua namna za kucheza naye.Goal la pili la leo ni zaidi ya kulitafuta..kaliomba na kafunga..Tangu mechi ya kwanza na ya leo sijafanikiwa kabisa kuitazama Argentina ila swali langu ni moja tu,
Kwani hiyo team nzima ya Argentina yenye wachezaji 11 uwanja na benchi la ufundi nje mfungaji ni mmoja tu, Messi?
Au anaanza yeye mwenyewe tu bila wachezaji wengine?
Msaada tafadhali
Unahama hama kinyamaa Mzee..pumzisha fuvu..Kaa kwa Ronaldo usikimbilie huko😀😀😀😀Hizi rekodi zilizotengenezwa kwa miaka 16 ni rekodi ambazo Mbappe atazifukia kwenye single tournament na hakuna media itayompa mileage.View attachment 3613473
Hizi rekodi zilizotengenezwa kwa miaka 16 ni rekodi ambazo Mbappe atazifukia kwenye single tournament na hakuna media itayompa mileage.View attachment 3613473
Muda wa Mbappé na HaalandSaa Sita
France vs Iraq
Saa Tisa Alfajiri
Senegal vs Norway
Saa 12 Asubuhi
Algeria vs Jordan