2026 FIFA World Cup - Special Thread

Kwenye makundi timu yoyote kutoka ulaya ni lazima ifuzu,wametuacha mbali sana yaani waliofuzu WC wote kutoka ulaya ni wazuri hakuna garasa.Na zitatoana zenyewe hatua ya robo fainali huko.Maana mabara mengine ni kama wasindikizaji ukiwatoa Korea,kidogo Morocco.Brazil na Argentina hakuna timu pale zikijitahidi sana zitaishia 16 Bora.Wengine waliobaki kutoka mabara mengine ni wasindikizaji tu
 
Napinga hoja kwa kishindo sana hii
 
Kazi ipo
 
Mkuu soka aliendi hivyo kwenye mpira haswa kwenye national team. utaona mambo yatakavyokuwa tu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…