2026 FIFA World Cup - Special Thread

Ligi ya Uingereza ndio ligi bora duniani
 
Ukiangalia wanyamwezi walioko uwanjani ukiangalia uwanja upo sea breeze
kwa nje wanyamwezi Kuna tv kubwa wanakula bia

jiji la Seattle linanukia Safi upepo mtam

malaya wananukia Safi 🤣

kwa juu midege inakatiza

ndo utagundua USA ni ndoto ya kila binadam kukanyaga

pmj na visa restrictions lkn watu wamekubali kuweka pesa ili watimize ndoto zao

Land of free❣️
 
Kabisa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…